Jinsi ya kudownload video za Youtube
Njia rahisi ya ku download video hizo ni kupitia app ya tubemate. Tubemate ndiyo app nzuri ya kudownload video hizo.
Hatua za ku-download
- Ingia katika tovuti ya tubemate {tubemate.net} kisha download application ya tubemate youtube downloader.
- Kabla ya ku install ruhusu apps kutoka vyanzo visivyojulikana "apps from unknown sources" nenda settings>>security>>unknown sources
- Install app yako kisha tafuta video uipendayo kwa ajili ya kudownload.
kujua namna ya kutumia tubemate app soma hii
Jinsi ya ku download video za Youtube kwa kutumia Tubemate app
Kumbuka
- App ya tubemate haipatikani katika Google PlayStore.
Dondoo
- Unaweza ku download moja kwa moja kwenye internet kwa kuweka herufi ss kabla ya link ya youtube mfano https://www.ssyoutube.com/wl..........
- app ya kudownload video youtube sio tubemate peke yake. Zipo nyingine kama Snaptube na Vidmate