Njia za kuweza kupata apps hizo
BlackMart
Unaweza kupata apps nyingi sana hususa ni zinazopatikana katika Google Playstore. Unachotakiwa kufanya ni kuingia katika website ya Blackmart kisha download apk na install katika simu yako ya android. Hapo unaweza kudownload apps bila kufungua account au ku-log inMobogenie app store.
Njia nyingine ni kutumia app au website ya mobogenie ya android. Hapa unaingia katika website ya mobogenie kisha unatafuta app yako kwa ajii ya kudownload. Piakatika store hii hakuna haja ya kufungua account au ku-log in kwa ajili ya kudownloadKumbuka:
Kabla ya ku-install apps zinazotoka sehemu tofauti na Google Playstore ingia settings kwa ajili ya kuruhusu (apps from unknown sources) nenda settings>>security>>unknown sourceskisha washa.