jinsi ya ku hack Dream League

7 comments
Dream League Soccer ni miongoni mwa gemu za simu zilizojipatia umaarufu mkubwa kwa miaka michache iliyopita. Gemu hili unaweza kulipata katika soko la Google yaani Google PlayStore. Unaweza kufurahia zaidi gemu hili kama utakua na uwezo wa kununua mchezaji yeyote na mengineyo. Zifuatazo ni hatua rahisi za kuweza kupata "coin unlimited". Post hii inaonesha njia rahisi zaidi ya kupata unlimited coins kwenye Dream League.

1. Download Dream League Soccer katika simu yako kutokea Google PlayStore.(Ndio rahisi zaidi japo zipo sehemu nyingine).

2. Nenda katika File Manager/File Explorer kisha tafuta folder "Android" halafu ingia "Data" halafu "com.firsttouchgames.dls3" kisha "files". Ukifika katika folder hilo tafuta file lililoandikwa "profile.dat". Futa faili hilo na weka faili utakalo-download >>HAPA<<

3. Baada ya hapo utakua tayari kwa ajili ya kucheza gemu lako lenye "unlimited coins"