Shortcut za Kompyuta

0 comments

F1...F12

F1........Kufungua Kituo cha Msaada

F2........Ku-rename kitu ulicho kichagua

F3........Kutafuta File katika File Explore

F4........Kuonesha orodha Anwani katika File Explore

F5........Kuefresh active window

F6........Punguza sauti ya Laptop (kwenye baadhi ya kompyuta)

F7........Kuongeza sauti ya laptop(kwenye baadhi ya komputya)

F8........Ingiza Window startup menu, hasahasa ku-access Window Safe Mode

F9........Ku-refresh Document kwenye Microsoft Word

F10.......Ku-activate menu bar ya application uliyoifungua

F11.......Kuweka na kutoa Full screen katika mtandao

F12.......kufungua na kusave document katika microsoft

WINDOW KEY(Win)

Win+1......kufungua Software ya kwanza kwenye taskbar

Win+2......kufungua Software ya Pili kwenye taskbar

Win+3......kufungua Software ya Tatu kwenye taskbar

Win+4......kufungua Software ya Nne kwenye taskbar

Win+5......kufungua Software ya Tano kwenye taskbar

Win+6......kufungua Software ya Sita kwenye taskbar

Win+7......kufungua Software ya Saba kwenye taskbar

Win+8......kufungua Software ya Nane kwenye taskbar

Win+A......Kufungua Collapse Menu

Win+B......Kuonesha Hidden Icon

Win+D......Kurudi Home Screen(Desktop)

Win+E......Kufungua File Explore

Win+F......Kufungua Feedback Hub

Win+G......Kufungua XBOX Menu

Win+H......Kufungua Micro phone speaker

Win+I......Kufungua Setting Menu

Win+K......Kuconnect kwenye Bluetooth

Win+L......Kwenda kwenye Lockscreen

Win+M......Kurudi Home Screen(Desktop)

Win+P......Kufungua Project Menu

Win+Q......Kuangalia RECENT activties na ku manage Timeline

Win+R......Kufungua Software iitwayo RUN

Win+S......Kuangalia RECENT activties na ku manage Timeline

Win+T......Kukuonyesha File Unalolitumia kwa wakati uo

Win+U.....Kufungua Menu ya Setting

Win+V.....Kufungua Clip Board

Win+W.....Kufungua Fullscreen Snip na White Board

Win+X.....Kufungua Window Menu