Zanzibar

0 comments

Zanzibar ni kisiwa kinachopatikana katika bahari ya Hindi. Zanzibar ni sehemu ya nchi ya Tanzania iliyopo Afrika Mashariki.

Zanzibar ni muunganiko wa visiwa viwili vikubwa, Unguja na Pemba.


English