Unaweza kudownload video za facebook kwa kutumia Video Downloader for Facebook.
Kwanza itabidi uangalie iyo video inapatikana katika page/profile gani.
Kisha ingia Google playstore kwa ajili ya kudownload application ya Video Downloader for Facebook (Njia nyingine za kudownload apps zinapatikana Hapa)
Search Video Downloader for Facebook kisha Install alafu subiri ili uingie kwa kubonyeza 'OPEN'
Baada ya kuingia katika application yako log in katika account yako ya facebook. Maelezo yatatokea kama inavyoonekana hapo chini bonyeza 'GOT IT' kisha 'BROWSE FACEBOOK' kwa ajili ya kuanza kuitafuta video yako
Baada ya hapo andika jina la page au profile ya mtu ambaye amepost video hiyo.
Sasa unaitafuta video yako kisha unabonyeza alama ya kucheza video na kisha 'DOWNLOAD'
Baada ya kudownload video zako zitapatikana katika 'Videos' au 'Gallery' au faili la "fb.video.downloader" kama inavyoonekana katika picha hapo chini
sasa unaweza ku-enjoy video za facebook katika simu yako.