Jinsi ya kurestore simu

0 comments
Ni kweli kwamba simu nyingi hususani zinazotumia android system huwa zina matatizo mengi makubwa na madogo ambayo njia na tiba rahisi ni kufanya factory reset kwenye simu. Lakini kabla hujaamua kufanya hivyo kwenye simu yako nakushauri kuangalia njia ya kuhifadhi vitu vilivyoko katika simu yako kwa sababu vitafutika vyote ikiwamo application, miziki na picha zote.

           SASA TUNAANZA KUFANYA HARD RESET AU FACTORY RESET.

  • Fungua menu katika simu yako.
  • Nenda kwenye setting katika simu yako.
  • Kwa simu nyingi ukifungua "privacy" utaikuta factory data reset.
  • Simu nyingine ukifungua "backup and reset" utaikuta factory data reset.
  • Fungua factory data reset.
  • Click reset phone/reset device.

KUMBUKA UTATUMIA MUDA KUTOKANA NA WEPESI AU UZITO WA SIMU  YAKO.