JINSI YA KUTUMIA WHATSAPP KWENYE LAPTOP AU COMPUTER(PC) YAKO.
- Fungua hii link hapa
- Baada ya kuclick hapo kwenye link itakuleta kwenye ukurasa kama inavyoonekana hapa chini.
Kwa kutumia smartphone yako fanya yafuatayo.
*Fungua whatsapp kwenye simu yako>>bonyeza sehemu ya menu au setting>>kisha chagua whatsapp web>>weka simu yako kwenye screen ya computer au laptop yako kwa ajili ya kufanya scanning ya code zinazoonekana kwenye screen yako.
- Kwa kufanya scanning ya hizo code kwa kutumia simu yako utaweza kutumia katika laptop au computer bila shida yoyote.
KUMBUKA:Simu yako inatakiwa iwe haijazimwa data.