Livescore ni huduma inayotolewa na tovuti inayohusisha matangazo ya moja kwa moja kutoka katika mchezo fulani. Mfano soka, mpira wa kikapu na mingine.
Mara nyingine neno hio linatumiaka kumaanisha huduma inayopatikana katika tovuti inayokuwezesha kuona matokeo ya michezo iliyopita na ratiba za michezo inayofuata.